Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Nitazungumza na Rais Mteule Buhari kuhusu hatma ya watoto wanaoshikiliwa: Mjumbe UM

Nitazungumza na Rais Mteule Buhari kuhusu hatma ya watoto wanaoshikiliwa: Mjumbe UM

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu elimu duniani, Gordon Brown amekaribisha kuachiliwa huru kwa wasichana 200 waliokuwa wanashikiliwa na kikundi cha kigaidi cha Boko Haram nchini Nigeria huku akitaka wanaosalia waachiliwe huru mara moja.

Sauti -

UNWTO kusaidia kukwamua sekta ya utalii Kenya:

UNWTO kusaidia kukwamua sekta ya utalii Kenya:

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na utalii, UNWTO limeelezea mshikamnao wake na serikali na wananchi wa Kenya katika harakati zake za kukwamua sekta ya utalii nchini humo wakati huu ambao nchi hiyo imekumbwa na matukio ya ugaidi.

Sauti -

Ban, OHCHR wasikitishwa na Indonesia kukatili maisha ya washtakiwa:

Ban, OHCHR wasikitishwa na Indonesia kukatili maisha ya washtakiwa:

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameeleza masikitiko yake makubwa kufuatia kitendo cha Indonesia kutekeleza adhabu ya kifo kwa watu waliopatikana na hatia dhidi ya madawa ya kulevya.

Sauti -

Michael Douglas atambua umuhimu wa utafiti katika kupambana na tishio la nyuklia

Michael Douglas atambua umuhimu wa utafiti katika kupambana na tishio la nyuklia

Kongamano la kutathmini mkataba wa kuzuia ueneaji wa silaha za nyuklia, NPT, likiendelea leo mjini New York, mcheza filamu mashuhuri Michael Douglas ambaye pia ni Mjumbe wa Amani wa Umoja wa Mataifa amesema utafiti ni muhimu ili kutokomeza tishio la silaha za nyuklia.

Sauti -

Baraza la Usalama laongeza muda wa MINUSCA

Baraza la Usalama laongeza muda wa MINUSCA

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limepitisha kwa kauli moja azimio la kuongeza kwa mwaka mmoja zaidi muda wa mamlaka ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR,

Sauti -