Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

UNICEF yataka watoto walindwe Yemen

UNICEF yataka watoto walindwe Yemen

Takribani watoto 62 wameuawa na wengine 30 wamejeruhiwa katika wiki moja iliyopita ya mapigano nchini Yemen.

Sauti -

Watoto wameuawa na mabomu ya kutegwa ardhini Ukraine

Watoto wameuawa na mabomu ya kutegwa ardhini Ukraine

Shirika la Kuhudumia Watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF, limesema kuwa watoto wapatao 109 wameripotiwa kujeruhiwa huku wengine 42 wakiuawa na

Sauti -

Ban awa na mazungumzo Waziri Mkuu wa Lebanon nchini Kuwait

Ban awa na mazungumzo Waziri Mkuu wa Lebanon nchini Kuwait

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon aliyeko ziarani Mashariki ya Kati amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu wa Lebanon, Tammam Salam kando mwa mkutano wa wahisani wa Syria nchini Kuwait.

Sauti -

Hali ya kibinadamu Syria inazorota kila siku- Valerie Amos

Hali ya kibinadamu Syria inazorota kila siku- Valerie Amos

Suluhu la kisiasa linapaswa kupatikana haraka nchini Syria, kwani hali ya kibinadamu inazidi kuzorota kila uchao.

Sauti -

Kikwete aitaka jamii ya kimataifa isaidie Afrika kupambana na ukosefu wa ajira

Kikwete aitaka jamii ya kimataifa isaidie Afrika kupambana na ukosefu wa ajira

Wakati wa uzinduzi wa kongamano la Umoja wa Mataifa kuhusu ajira bora, linalofanyika kuanzia leo mjini New York, Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amesema, ingawa amefurahi kuona kwamba ukosefu wa ajira umewekwa kipaumbele na jamii ya kimataifa hadi kuwa moja ya malengo ya maendeleo endelevu, bado

Sauti -