Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Watu wapatao 100 yasemekana kuuawa huko DRC; MONUSCO yachunguza

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC,

Sauti -

Watu wapatao 100 yasemekana kuuawa huko DRC; MONUSCO yachunguza

Ban azungumzia kuhitimishwa kwa mahakama maalum ya Sierra Leone

Hatimaye mahakama maalum kuhusuSierra Leoneimehitimisha kazi zake tarehe 31 Disemba baada ya miaka Kumi na moja ya utendaji wake.

Sauti -

Ban azungumzia kuhitimishwa kwa mahakama maalum ya Sierra Leone

Katibu mkuu azungumza na Rais Putin kuhusu mashambulio huko Volgograd

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amezungumza kwa njia ya simu an Rais Vladmir Putin wa Urusi kuhusu mashambulio mawili kwenye mji wa Volgograd jana na leo ambapo ametuma salamu za rambirambi kwa familia na kwa serikali ya nchi hiyo.

Sauti -

Katibu mkuu azungumza na Rais Putin kuhusu mashambulio huko Volgograd

Hali Sudan Kusini bado mbaya, mapigano yanaendelea

Hali ya usalama nchini Sudan Kusini bado ni mbaya kwani mapigano bado yanaendelea na idadi ya wanaosaka hifadhi kwenye ofisi za ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo,

Sauti -

Hali Sudan Kusini bado mbaya, mapigano yanaendelea

Ban, Baraza la Usalama walaani shambulio la kigaidi nchini Urusi

Umoja wa Mataifa umelaani vikali shambulio la kigaidi huko Volgograd nchini Urusi ambalo limesababisha vifo vya watu 16 na wengine wengi kujeruhiwa.

Sauti -

Ban, Baraza la Usalama walaani shambulio la kigaidi nchini Urusi