Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Mchakato wa amani Darfur unaenda vizuri:Sudan

Mchakato wa amani Darfur unaenda vizuri:Sudan

Jumuiya ya kimataifa inapaswa kuyatia shinikizo makundi ya waasi kwenye jimbo la Darfur Sudan kushiriki kwenye mchakato wa amani ili kutatua mzozo amesema mwakilishi wa Sudan kwenye Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Sheria ni muhimu katika kuzuia mizozo:Baraza la Usalama la UM

Sheria ni muhimu katika kuzuia mizozo:Baraza la Usalama la UM

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepinga vikali kutolewa msamaha kwa wale wanaopatikana kuendeleza ukiukwaji wa haki za binadamu. Pia baraza hilo limesisitiza umuhimu wa kuheshimiwa kwa sheria kama moja ya njia ya kuzuia mizozo, kwa utatuzi wa mizozo na katika uwekaji amani.

Sauti -

Rais wa Baraza Kuu la UM atiwa moyo na hatua ya Bahrain kukubali kutekeleza mapendekezo ya mageuzi

Rais wa Baraza Kuu la UM atiwa moyo na hatua ya Bahrain kukubali kutekeleza mapendekezo ya mageuzi

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Nassir Abdulaziz Al-Nasser amesema kuwa ametiwa moyo na tangazo lililotelewa na mamlaka ya Bahrain iliyoarifu juu ya utayari wa kuanza kutekeleza mageuzi yenye shabaha ya kukaribisha maridhiano mapya.

Sauti -

Misaada zaidi yahitajika kuwasaidia waathiriwa wa mapigano nchini Sudan:Rice

Misaada zaidi yahitajika kuwasaidia waathiriwa wa mapigano nchini Sudan:Rice

Misaada inahitajika kwa dharura kwenye majimbo ya Kordofan Kusini na Blue Nile ili kuzuia hali iliyopo sasa kabla ya hali ya njaa haijatangazwa. Mjumbe Marekani kwenye Umoja wa Mataifa Susan Rice alitoa onyo hili mda mfupi baada ya mkutano wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Sudan.

Sauti -

Wataalamu wakutana kujadili janga la njaa duniani