Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Rais wa Baraza Kuu la UM akutana na mwenzio wa Baraza la Usalama

Rais wa Baraza Kuu la UM akutana na mwenzio wa Baraza la Usalama

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Nassir Abdulaziz Al-Nasser amekuwa na majadiliano na mwakilishi wa Afrika Kusini ambaye kwa sasa anashikilia urais wa mzunguko wa Baraza la Usalama ambako wamejadilia masuala kadhaa.

Sauti -

Baraza la Usalama laitaka Yemen kutekeleza mageuzi ya kisiasa kwa uangalifu

Baraza la Usalama laitaka Yemen kutekeleza mageuzi ya kisiasa kwa uangalifu

 Uchaguzi ujao nchini Yemen unatazamiwa kuwa fursa na chachu ya kukaribisha kipindi cha mpito ambacho kitashuhudia uimarishwaji na kuanzisha mazungumzo ya maridhiano na kukusanyisha maoni ya pande zote za siasa kwa mustabala wa taifa.

Sauti -

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa afanya mkutano na waziri kutoka Somalia

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa afanya mkutano na waziri kutoka Somalia

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Nassir Abdulaziz Al-Nasser amefanya mazungumzo na naibu waziri mkuu nchini Somalia ambapo walizungumzia hali ya usalama nchini Somalia.

Sauti -