bandari

Winchi za WFP zawasili Yemen

Meli iliobeba  winchi nne zilizonunuliwa na shirika  la mpango wa chakula duniani-WFP imetia nanga katika bandari ya Hodeidah nchini Yemen.

Sauti -

Winchi za WFP zawasili Yemen