Asia

Mwaka 2017 joto lilifurutu ada:WMO

Uwazi utasaidia kuondoa shuku juu ya silaha za maangamizi- Guterres

Tishio la matumizi ya silaha za maangamizi linaongezeka kila uchao licha ya juhudi za kimataifa za kudhibiti na hatimaye kutokomeza matumizi ya silaha hizo.

Sauti -

Uwazi utasaidia kuondoa shuku juu ya silaha za maangamizi- Guterres

Dunia ni lazima ishikamane na kuwa na ujasiri 2018:Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ameyataka mataifa duniani kuwa na kile alichoita umoja na ujasiri katika vita vya dhidi ya mgogoro unaondelea pamoja alichokiita hatari mpya.

Sauti -

Dunia ni lazima ishikamane na kuwa na ujasiri 2018:Guterres

Watoto milioni 3 wanazaliwa vitani Yemen kila mwaka:UNICEF

Watoto zaidi ya milioni tatu wamezaliwa nchini Yemen tangu kuanza kwa machafuko mwezi Machi 2015 kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa na shirika la Kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa

Sauti -

Watoto milioni 3 wanazaliwa vitani Yemen kila mwaka:UNICEF

Afya na usalama wa watoto wakimbizi wa Rohingya 500,000 njia panda:UNICEF

Usalama na afya ya watoto wakimbizi wa Rohingya zaidi ya nusu milioni wanaoishi katika kambi zilizo na msongamano mkubwa na makazi yasiyo rasmi nchini Bangladesh iko hatarini limeonya leo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -

Afya na usalama wa watoto wakimbizi wa Rohingya 500,000 njia panda:UNICEF

Idadi ya watalii duniani ilipanda 2017 na huenda ikaongezeka zaidi :UNWTO

Idadi ya watalii wa kimataifa, wanaowasili katika nchi nyingine, na watu wanaoingia nchi moja kwa siku kwa njia  halali iliongezeka mwaka wa 2017 kwa kiwango cha asili mia 7 na na hivyo  kufikia watalii Zaidi ya millioni elfu moja na mia tatu.

Sauti -