Asia

Mwanamke kutoka Uganda achaguliwa kufanya kazi kwenye mahakama ya UM

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama wamemchagua mwanasheria kutoka Uganda kujaza nafasi ya mwisho katika mahakama ya kimataifa ya haki ICJ ambayo pia hjulikana kama mahakama dunia ya Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Mwanamke kutoka Uganda achaguliwa kufanya kazi kwenye mahakama ya UM

Viongozi wa Asia-Pacific wajadili maendeleo kwa mataifa maskini kwenye kanda yao:ESCAP

Wataalamu na maafisa wa mataifa ya Asia-Pacific wanasema licha ya hatua zilizopigwa katika miaka kumi iliyopita mataifa masikini na visiwa vidogo vinavyoendelea wamesalia kuwa wahanga wa matatizo ya kichumi na majanga mengine ya ndani na nje katika kanda huo.

Sauti -

Viongozi wa Asia-Pacific wajadili maendeleo kwa mataifa maskini kwenye kanda yao:ESCAP

UM unahitajika sasa kuliko wakati mwingine wowote:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema dunia hivi sasa ipo katika kipindi kigumu kuwahi kushuhudiwa.

Sauti -

UM unahitajika sasa kuliko wakati mwingine wowote:Ban

Mtaalamu wa UM ataka kudhibiti uwezo wa makampuni yanayonunua madeni kuzishitaki nchi masikini

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu madeni ya nje na haki za binadamu Cephas Lumina, leo ameitaka serikali ya Jersey kupitisha sheria sawa na ile iliyoidhinishwa na Uingereza mwaka jana ya kudhibiti uwezo wa makampuni ya biashara yanayonunua madeni kuweza kuzishitaki nchi masikini zilizo na

Sauti -

Mtaalamu wa UM ataka kudhibiti uwezo wa makampuni yanayonunua madeni kuzishitaki nchi masikini

Vifo vinavyosababishwa na ugonjwa wa Malaria vimepungua

Kulingana na ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa ni kuwa vifo vinavyosababishwa na ugonjwa wa Malaria vimepungua kwa zaidi ya asilimia 25 tangu mwaka 2000.

Sauti -