Asia

Kiongozi wa zamani wa Khmer Rouge ambaye ni mgonjwa hatoachiliwa huru

Mahakama ya mauaji ya kimbari inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa nchini Cambodia imeamua kwamba Leng Thirith mwenye umri wa miaka 79, afisa wa zamani wa utawala wa Khmer Rouge ambaye alibainika kutokuwa na afya ya kumuwezesha kupanda kizimbani kwa kesi yake, sasa hatoachiliwa huru kama ilivyoam

Sauti -

Kiongozi wa zamani wa Khmer Rouge ambaye ni mgonjwa hatoachiliwa huru

Myanmar inaongoza kwa ongezeko la kilimo cha kasumba:UNODC

Utafiti wa Umoja wa Mataifa uliozinduliwa Alhamisi unmeonyesha kwamba kuna ongezeko kubwa la kilimo cha kasumba Myanmar na Laos na umetoa vito wa uwekezaji mkubwa wa kufadhili aina nyingine ya mfumo wa maisha.

Sauti -

Myanmar inaongoza kwa ongezeko la kilimo cha kasumba:UNODC

UNHCR yahitaji dola bilioni 7 katika miaka miwili ijayo

Mataifa wahisani wanakutana mjini Geneva alhamisi hii kutoa ahadi za msaada wa fedha kwa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -

UNHCR yahitaji dola bilioni 7 katika miaka miwili ijayo

Mfuko wa UM wa msaada wa dharura, CERF wakusanya ahadi za msaada kwa 2012

Wawakilishi wa serikali kutoka kote duniani wanafanya mkutano wa siku mbili mjini New York kujadili mfuko wa Umoja wa Mataifa wa msaada wa dharura CERF.

Sauti -

Mfuko wa UM wa msaada wa dharura, CERF wakusanya ahadi za msaada kwa 2012

Maskini zaidi ya milioni 30 India na Afrika Kusini kufaidika na huduma za bank:UNDP

Makampuni mawili yametangaza Jumatano kwamba yatatoa huduma za bank kwa watu zaidi ya milioni 30 wa kipato cha chini nchini India na Afrika ya Kusini ifikapo mwaka 2015.

Sauti -

Maskini zaidi ya milioni 30 India na Afrika Kusini kufaidika na huduma za bank:UNDP