Asia

Ban aitilia shime serikali ya Sri Lanka kukamilisha ahadi zake

UNHCR yalaumu vifo vya ajali ya boti Indonesia

Kamishina Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR Antonio Guterres ameshitushwa na vifo vya watu vilivyotokana

Sauti -

UNHCR yalaumu vifo vya ajali ya boti Indonesia

Ban autaka uongozi wa Mpito Misri kuchukua hatua baada ya machafuko Cairo

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameutaka uongozi wa mpito nchini Misri kujizuia baada ya siku kadhaa za machafuko baina ya majeshi ya usalama na waandamanaji mjini Cairo kuarifiwa kusababisha vifo vya watu 10 na kujeruhi mamia wengine.

Sauti -

Ban autaka uongozi wa Mpito Misri kuchukua hatua baada ya machafuko Cairo

UNCTAD yatoa takwimu za biashara na hali ya uchumi duniani

Tume ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo UNCTAD imetoa takwimu za mwaka 2011 za utafiti wa mfumo wa biashara ya kimataifa, bei za bidhaa, usafirishaji wa majini na hali ya uchumi katika mataifa yanayoendelea.

Sauti -

UNCTAD yatoa takwimu za biashara na hali ya uchumi duniani

Nchi zinazoendelea zimechagizwa kusaidiana:Ban

Nchi zinazoendelea ambazo uchumi wake unakuwa zimechagizwa kuongeza ushirikiano kwa watoaji wa msaada wa kiuchumi kwa nchi zingine zinazoendelea.

Sauti -

Nchi zinazoendelea zimechagizwa kusaidiana:Ban

Siku ya kimataifa ya wahamiaji

Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhamiaji Shirika la kimataifa uhamiaji IOM linasema kwamba ukosefu wa huduma za matibabu kwa wahamiaji ni jambo ya kutisha na ina inahitaji kushughulikiwa kwa dharura .  Jumbe Omari Jumbe wa shirika la IOM anafafanua amezungumza na Radio ya Umoja wa Mataifa

Sauti -