Asia

Mwaka 2011 ni mwaka wa mabadiliko:UNAIDS

Mwaka 2011 umetajwa kama mwaka wa mabadiliko hasa kwenye vita dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi. Suala la ukimwi limekuwa likionekana kuwa changamoto kubwa lakini sayansi, mchango wa kisiasa na kujitolea kwa jamii vimesababisha kuwepo kwa mafanikio katika vita dhidi ya ukimwi.

Sauti -

Mwaka 2011 ni mwaka wa mabadiliko:UNAIDS

Bado Sri Lanka inahitaji kujiandaa kwa majanga

Miaka saba baada ya janga la Tsumani kuikumba Sri Lanka mengi bado yanahitaji kutekelezwa kwa lengo ya kuhakikisha kuwa kunatolewa onyo la mapema.

Sauti -

Bado Sri Lanka inahitaji kujiandaa kwa majanga

Watu zaidi wauawa na dharuba nchini Ufilipino

Shirika la afya duniani WHO linasema kuwa idadi ya vifo vilivyosababishwa na dhoruba kali nchini Ufilipino kwa sasa umefikia watu 976 huku wengine 46 hawajuli

Sauti -

Watu zaidi wauawa na dharuba nchini Ufilipino

UM waelezea masikitiko yake kufuatia China kuendelea kuwatia korokoroni watetezi wa haki za binadamu

Umoja wa Mataifa umeelezea masikitiko yake kufuatia hatua ya mamlaka ya China kumtia korokoroni mwanaharakati wa haki za binadamu Chen Wie ambao kwa miaka mingi amekuwa mstari wa mbele kupigania usawa na haki za watu dhidi ya utawala wa China.

Sauti -

UM waelezea masikitiko yake kufuatia China kuendelea kuwatia korokoroni watetezi wa haki za binadamu