Asia

Uhusiano wa viumbe na mazingira ni muhimu kwa usalama wa chakula:UNEP

Kutambua mfumo bora wa mahuasiano ya viumbe na mazingira kwa ajili ya vyanzo vya maji na salama wa chakula kunaweza kusaidia kuzalisha zaidi chakula, kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na kuleta faida kubwa za kiuchumi kwa jamii masikini.

Sauti -

Uhusiano wa viumbe na mazingira ni muhimu kwa usalama wa chakula:UNEP

UM ni muhimu sana kwa kila jambo duniani:vijana

Mwezi huu mwaka wa kimataifa wa vijana umekamilika ambapo Umoja wa Mataifa kwa miezi 12 umekuwa ukipiga debe kuzitaka nchi wanachama kutoa nafasi kwa vijana kushiriki katika masuala muhimu yanayoisumbua dunia.

Sauti -

UM ni muhimu sana kwa kila jambo duniani:vijana

WFP inawasaidia waathirika wa mafuriko Bangladesh

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP linatoa msaada wa dharura wa chakula unaohitajika kwa watu 57,000 walioathirika na mafuriko Kusini mwa Bangladesh.

Sauti -

WFP inawasaidia waathirika wa mafuriko Bangladesh

Maelfu ya wahamiaji bado wanahitaji kuhamishwa Libya:IOM

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM linafanya juhudi za kuendelea kuwahamisha maelfu ya wahamiaji wanaohitaji msaada kwenye mji mkuu wa Libya, Tripoli.

Sauti -

Maelfu ya wahamiaji bado wanahitaji kuhamishwa Libya:IOM

Siku ya kimataifa ya Uhisani UM wasisitiza umuhimu wa watu kuwasaidia watu

Leo Umoja wa Mataifa unaadhimisha mwaka wa tatu tangu kuanzishwa siku ya kimataifa ya wahisani, huku hafla zikifanyika duniani kote.

Sauti -

Siku ya kimataifa ya Uhisani UM wasisitiza umuhimu wa watu kuwasaidia watu