Asia

Ban kuzuru kinu cha Fukushima nchini Japan

ECOSOC yataka utekelezwaji wa malengo ya kielimu

Rais wa baraza la uchumi na kijamii la Umoja wa Mataifa Lazarous Kapambwe ametaka kuwepo kwa shabaya ya dhati juu ya utekelezwaji wa maazimio yaliyofikiwa na baraza hilo ambalo liliweka zingatio la uimaishwaji wa mifumo ya elimu kw amaelezo kuwa ndiyo mwarubaini wa kukabiliana na tatizo la umaski

Sauti -

ECOSOC yataka utekelezwaji wa malengo ya kielimu

Ban ataka mafungamano zaidi ya kirafiki

Kwenye siku ya kwanza ya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya urafiki, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon imeitolea mwito jamii ya kimataifa juu ya kile alichotaka ujenzi wa amani mpya ili kuleta ustawi wa maridhiano kwa dunia.Amesema kufikia shabaya ya kuwa na dunia yenye mafungamano ya

Sauti -

Ban ataka mafungamano zaidi ya kirafiki

Unyonyeshaji wa watoto wapunguza vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano

Wakati kunaposherehekewa wiki ya kunyonyesha duniani shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeungana na washirika wake kote duni

Sauti -

Unyonyeshaji wa watoto wapunguza vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano