Asia

Siku ya upigaji marukufu matumizi ya Nyuklia

Leo ni siku ya kimataifa ya kukabiliana na majaribio ya mifumo ya kinyuklia. Siku ya leo ndiyo inayoadhimishwa kupitishwa kwa sheria ya kimataifa inayopiga marafuku matumizi ya mitambo ya nyuklia duniani kote.

Sauti -

Siku ya upigaji marukufu matumizi ya Nyuklia

Baraza la usalama lajadili operesheni za kulinda amani

Wahisani ni muhimu sana kwa mamilioni ya watu duniani:UM

Ijumaa ya tarehe 19 Agosti Umoja wa Mataifa na dunia kwa ujumla waliungana kuadhimisha siku ya kimataifa ya wahisani watu ambao mchango wao, kujitolea kwao na juhudi zao zimeokoa na zinaendelea kuokoa mamilioni ya watu katika maeneo yenye matatizo ya vita, njaa, majanga ya asili na kadhalika.

Sauti -

Wahisani ni muhimu sana kwa mamilioni ya watu duniani:UM

Uwekezaji maji una manufaa kwa afya ya binadamu, usalama wa chakula na ukuaji wa uchumi:UNEP

Matokeo ya utafiti yaliyotolewa leo na Umoja wa Mataifa yanasema kuwekeza asilimia 0.16 ya pato la taifa kwenye sekta ya maji kutapunguza matatizo ya maji na kupunguza kwa nusu idadi ya watu wasio na fursa ya kupata maji safi ya kunywa na mahitaji muhimu ya usafi katika kipindi cha chini ya miaka

Sauti -

Uwekezaji maji una manufaa kwa afya ya binadamu, usalama wa chakula na ukuaji wa uchumi:UNEP

Ban achagiza malengo matatu ya nishati kubadili uchumi wa dunia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kuna mambo matatu muhimu ya kuzingatia ambayo ni malengo ya nishati ili kubadili uchumi wa dunia na kufungua njia ya kuwa na mustakhabali bora, safi, salama na wenye matumaini.

Akizungumza kwenye mjadala maalumu

Sauti -

Ban achagiza malengo matatu ya nishati kubadili uchumi wa dunia