Asia

Vifo vya watoto wachanga vyapungua lakini bara la Afrika lasalia nyuma

Utafiti Mpya kutoka kwenye shiririka la afya duniani WHO pamoja na washirika wake unaonyesha kuwa idadi ya watoto wanaokufa baada ya mara baada ya kuzaliwa im

Sauti -

Vifo vya watoto wachanga vyapungua lakini bara la Afrika lasalia nyuma

Ban kuanza ziara ya kutembelea mataifa manne

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon anajiandaa kwa ziara ya kuyambelea mataifa manne itakayomchukua kuanzia Australia hadi katika visiwa na Solomon ambako anatazamiwa kutilia uzito masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.

Sauti -

Ban kuanza ziara ya kutembelea mataifa manne

UM wataka mataifa yote duniani kukomesha “ Uhalifu wa kupindukia”

Umoja wa Mataifa umetoa zingatia la kuyataka mataifa yote duniani kuachana na kile ilichokiita “ uhalifu wa kupindukia”kwa kuendesha mwenendo wa chini chini kuwaangamiza watu waliokimnbia uhamishoni kwa shabaya ya kupata hifadhi mpya katika nchi ngeni.

Sauti -

UM wataka mataifa yote duniani kukomesha “ Uhalifu wa kupindukia”

Wahusika wa mashambulio ya bomu Abuja lazima wapelekwe mbele ya sheria: Migiro

Naibu Katibu Mkuu wa UM Bi Asha Rose Migiro amelaani vikali mashambulio yaliyolenga majengo ya Umoja wa Mataifa nchini Nigeria.

Sauti -

Wahusika wa mashambulio ya bomu Abuja lazima wapelekwe mbele ya sheria: Migiro

Kusambaa zaidi kwa ugonjwa wa mafua ya ndege:FAO

Shirika la kimataifa la chakula na kilimo

Sauti -

Kusambaa zaidi kwa ugonjwa wa mafua ya ndege:FAO