Asia

Matumizi ya tumbaku yaongezekakatika nchi zinazoendelea

Shirika la afya duniani WHO linasema wakati matumizi ya bidhaa za tumbaku yakianza kupungua katika mataifa yaliyoendelea nchi zinazoendelea ambazo nyingi ni m

Sauti -

Matumizi ya tumbaku yaongezekakatika nchi zinazoendelea

Mwongozo kuhusu biashara na haki za binadamu watolewa

Mwongozo ambao umekuwa ukisubiriwa kwa muda kuhusu biashara na haki za binadamu hatimaye umewasilishwa na mwakilishi maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na biashara na haki za binadamu John Ruggie wakati wa kikao cha baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Mwongozo kuhusu biashara na haki za binadamu watolewa

Matumizi ya tumbaku bado yako juu:WHO

Katika siku ya kimataifa ya kupinga matumizi ya tumbaku, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki-moon amesema mwaka huu iimeangukia wakati wa maandalizi ya mkutano wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa utakaofanyijka Septemba kuhusu magonjwa yasoto ya kuambukiza.

Sauti -

Matumizi ya tumbaku bado yako juu:WHO

Viongozi wa dunia waongeza juhudi kukabili ukimwi:UNAIDS

Wakati vita vya ukimwi vikiwa katika kiwango cha juu viongozi wa dunia wanaonyesha nia ya kuongeza bidii katika vita hivyo umesema Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Viongozi wa dunia waongeza juhudi kukabili ukimwi:UNAIDS