Asia

Ushirikiano wa kimataifa utapunguza adha za kiuchumi:UM

Baada ya ulimwengu kushuhudia hali ngumu ya kiuchumi iliyosababisha kukwama kwa miradi mingi ya kimaendeleo na wakati pia ulimengu ukiendelea kukumbwa na kupanda kwa gharama ya chakula na nishati kunahitajika kuchukuliwa hatua zitakazochangia zaidi katika maendeleo.

Sauti -

Watu zaidi ya 250,000 wamekimbia Libya:IOM

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limesema zaidi ya watu 250,000 wakiwemo wahamiaji wa kigeni 21,000 wamekimbia nchini Libya tangu kuanza kwa machafuko ya kutaka kuuondoa utawala wa Qadhafi madarakani mwezi Februari.

UM umetuma salamu za rambirambi na kuahidi msaada baada ya tetemeko na tsunami kuikumba Japan

Tetemeko la ukubwa wa vipimo vya rishita 8.9 limeikumba Japan na kusababisha tsunami iliyoathiri ukanda mzima wa Pacific.

Nchi wanachama wa UM wameombwa kusaidia vikosi vya AMISOM Somalia:Ban

Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wametakiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon kuongeza msaada wao kwa wanajeshi 8000 wa muungano wa Afrika (AMISOM) wanaolinda amani nchini Somalia.

Bajeti ya UM itapungua kwa asilimia 3 mwaka 2012-2013:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema bajeti ijayo ya Umoja wa Mataifa itapungua kwa asilimia tatu kwenye kutoka kwa bajeti ya sasa ya miaka miwili ambayo ni dola bilioni 5.16 kutokana na matatizo ya uchumi yanayoikumba dunia.

Nyuki wako hatarini kwa uharibifu wa mazingira:UNEP

Uzalishaji wa chakula kimataifa utapungua katika miaka ijayo endapo hakutachukuliwa hatua kuzuia vivyo vya nyuki wazalisha asali limesema shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira UNEP.

Mkutano kupambana na umasikini kufanyika Brazili

Afisa anayehusika na masuala ya uchumi na ya kijamii kwenye Umoja wa Mataifa amesema kuwa mkutano kuhusu maendeleo ambao utaandaliwa mjini Rio de Janeiro nchini Brazil mwaka ujao utatoa fursa nzuri ya kuwasaidia watu kutoka kwenye umaskini.

Kamati ya maandalizi ya Rio 2012 yakamilisha kikao

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira UNEP Achim Steiner amesema maendeleo endelevu na mfumo wa ufuatiliaji wa suala hili visichukuliwe kama nguzo tatu zinazofanya kazi peke yake bali kama mfumo wa msokoto.