Asia ya Kati

Teknolojia saidizi ni muarobaini kwa watoto wenye ulemavu- UNICEF

Asilimia 75 ya watoto wenye ulemavu huko Ulaya ya Mashariki na Kati pamoja na Asia ya Kati hawapati elimu bora na jumuishi, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto,

Sauti -
2'45"

Teknolojia saidizi ni muarobaini kwa watoto wenye ulemavu- UNICEF

Asilimia 75 ya watoto wenye ulemavu huko Ulaya ya Mashariki na Kati pamoja na Asia ya Kati hawapati elimu bora na jumuishi, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF hii leo.

Ushirikiano baina ya nchi za Asia ya Kati na Afghanistan ni dhahiri- Guterres

Ushirikiano baina ya nchi za Asia ya Kati na Afghanistan ni dhahiri- Guterres

Umoja wa Mataifa umesema uko tayari kusaidia nchi za Asia ya Kati zinapoimarisha ushirikiano baina yao na Afghanistan ili kufanikisha malengo ya amani, maendeleo endelevu, utulivu na usalama.

Sauti -