ASF

Hatua za kimataifa zahitajika kuzuia kusambaa kwa mafua ya nguruwe:FAO

Shirika la afya ya wanyama duniani OIE na shrika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo

Sauti -
2'4"

Hatua za kimataifa zahitajika kuzuia kusambaa kwa mafua ya nguruwe:FAO

Shirika la afya ya wanyama duniani OIE na shrika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO leo wamezindua mkakati wa pamoja wa hatua za kimataifa za kuzuia kusambaa kwa homa ya mafua ya nguruwe ya Afrika (ASF)

Homa ya nguruwe yatikisa uchumi wa nchi 6 barani Asia

Ugonjwa wa homa ya nguruwe, ASF,  umeendelea kutikisa nchi za bara la Asia, ambapo kwa mwaka mmoja sasa tangu kubainika kwa ugonjwa huo takribani nguruwe milioni 5 wamekufa au wameteketezwa kutokana na kusambaa kwa gonjwa hilo hatari.

Jihadhari na virusi vya homa ya nguruwe China:FAO

Shirka la Chakula na Kilimo,

Sauti -
59"

FAO yaonya kuhusu kusambaa kwa virusi ya homa ya nguruwe barani Asia

Shirika la Chakula na Kilimo, FAO limeonya kuwa virusi vya homa ya ngurwe ya Afrika iliolipuka nchini Uchina huenda itasambaa hadi katika nchi nyingine katika bara la Asia. Hii ni kwa kuzingatia kusambaa kwake hadi maeneo yaliopo mbali wa kilomita 1,000 nchini humo.