António Guterres

Katibu Mkuu alaani mashambulizi ya kigaidi huko Yerusalemu

Katibu Mkuu alaani mashambulizi ya kigaidi huko Yerusalemu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa na mpalestina mmoja huko Yerusalemu siku ya Jumapili.

Sauti -

António Guterres, Katibu Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Mataifa

Tarehe 12 Disemba mwaka 2016, Umoja wa Mataifa umepata Katibu Mkuu mpya António Guterres, akipokea kijiti kutoka kwa Ban Ki-moon aliyemaliza awamu zake mbili za kuongoza chombo hicho chenye wanachama 193. Je António Guterres ni nani? Ungana basi na Assumpta Massoi katika Makala hii ya Wiki.

Sauti -

António Guterres, Katibu Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Mataifa

Guterres azungumza na Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki

Guterres azungumza na Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki

Takribani wiki moja baada ya shambulio la kigaidi lililolenga washerehekeaji wa mwaka mpya, katika klabu moja ya usiku nchini Uturuki, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Sauti -

Kutana na Erick David Nampesya, mwanahabari gwiji aliyekutana ana kwa ana na Guterres

Kutana na Erick David Nampesya, mwanahabari gwiji aliyekutana ana kwa ana na Guterres

Akiwa na siku nne pekee ofisini tangu aanze majukumu yake , Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres, ambaye aliapishwa mnamo Disemba 12 mwaka jana, anaelezwa na wengi kuwa mwenye mwelekeo sah

Sauti -