António Guterres

Niungeni mkono 2017 uwe mwaka wa amani duniani- Guterres

Katika Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ambaye anaanza kazi rasmi hii leo, ametaka dunia kuungana naye katika kusaka suluhu ya matatizo lukuki yanayoikabili sayari hiyo.

Sauti -

Niungeni mkono 2017 uwe mwaka wa amani duniani- Guterres

Amina J Mohammed wa Nigeria ateuliwa Naibu Katibu Mkuu wa UM

Katibu Mkuu mteule wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amefanya uteuzi wa maafisa watatu waandamizi zaidi kwenye umoja huo ikiwemo Naibu Katibu Mkuu ambaye ni Amina J Mohammed wa Nigeria.

Sauti -

Amina J Mohammed wa Nigeria ateuliwa Naibu Katibu Mkuu wa UM

Guterres ala kiapo; atangaza hatua kurejesha imani kwa UM

Antonio Guterres kutoka Ureno ameapishwa leo kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, mbele ya wawakilishi wa nchi 193 wanachama wa Umoja huo. Assumpta Massoi na ripoti kamili.

(Taarifa ya Assumpta)

Sauti -

Guterres ala kiapo; atangaza hatua kurejesha imani kwa UM

Antonio Guterres kuapishwa Jumatatu:UM

Natts…..

Katibu Mkuu mteule wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akitanabaisha kilichomchagiza kuwania kiti ambacho Jumatatu kitahalalishwa rasmi kuwa chake na kuanza kukikalia kuanzia Januari Mosi 2017 akiwa Katibu Mkuu wa 9 wa Umoja wa Mataifa.

(PHOTO SLIDE)

Sauti -

Antonio Guterres kuapishwa Jumatatu:UM

Hii ndio timu ya mpito ya Katibu Mkuu mteule Antonio Guterres

Kufuatia kuidhinishwa rasmi hapo jana na baraza kuu la Umoja wa Mataifa kuwa Katibu Mkuu mteule wa Umoja huo, Antonio Guterres leo ametangaza ramsi timu ya mpito itakayomsaidia katika maandalizi ya kuchukua hatamu mnamo Januari Mosi 2017.

Sauti -

Hii ndio timu ya mpito ya Katibu Mkuu mteule Antonio Guterres