António Guterres

Antonio Guterres kuapishwa Jumatatu:UM

Hii ndio timu ya mpito ya Katibu Mkuu mteule Antonio Guterres

Kufuatia kuidhinishwa rasmi hapo jana na baraza kuu la Umoja wa Mataifa kuwa Katibu Mkuu mteule wa Umoja huo, Antonio Guterres leo ametangaza ramsi timu ya mpito itakayomsaidia katika maandalizi ya kuchukua hatamu mnamo Januari Mosi 2017.

Sauti -

Hii ndio timu ya mpito ya Katibu Mkuu mteule Antonio Guterres

Nitatumia zaidi diplomasia kusaka kurejesha amani duniani- Guterres

Katibu Mkuu mteule wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kipaumbele chake cha kwanza ni kushughulikia ukosefu wa amani duniani ambao amesema ndio changamoto kubwa hivi sasa.

Sauti -

Nitatumia zaidi diplomasia kusaka kurejesha amani duniani- Guterres

Mmeniteua kwa kauli moja na nitawahudumia kwa usawa- Guterres

Niliposikia uamuzi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa kunipendekeza kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, hisia zangu zingaliweza kuelezewa kwa maneno mawili; Shukrani na unyenyekevu. Ndivyo alivyoanza hotuba yake Antonio Guterres baada ya Baraza Kuu kuridhia uteuzi wake wa kushika wadhifa

Sauti -

Mmeniteua kwa kauli moja na nitawahudumia kwa usawa- Guterres

Guterres Katibu Mkuu mteule wa Umoja wa Mataifa.

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa kauli moja limemuidhinisha Antonio Guterres wa Ureno kuwa Katibu Mkuu wa Tisa wa chombo hicho chenye nchi wanachama 193. Assumpta Massoi na ripoti kamili.

(Taarifa ya Assumpta)

Nats..

Sauti -

Guterres Katibu Mkuu mteule wa Umoja wa Mataifa.