Pande kinzani Comoro epusheni kinachoendelea Anjouan- Guterres
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameeleza wasiwasi wake kufuatia mvutano unaozidi kuongezeka huko Anjouan moja ya visiwa vya Comoro, mvutano ambao umeripotiwa kusababisha vifo.