Angola

30 Oktoba 2018

Miongoni mwa habari tulizo nazo hii leo ni pamoja na :

Sauti -
12'5"

Hali ya watoto wakimbizi wa DRC waliofurushwa kutoka Angola ni taabani

Takribani watoto 80,000 waliorejea hivi karibuni nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoka Angola hivi sasa wanahitaji haraka msaada wa kibinadamu limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -
1'44"

Watoto 80,000 waliorejea DRC toka Angola wanahitahi msaada haraka:UNICEF

Takribani watoto 80,000 waliorejea hivi karibuni nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoka Angola hivi sasa wanahitaji haraka msaada wa kibinadamu limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF. 

Zahma zaidi yawakumba wakimbizi wa DRC nchini Angola.

Kamishina Mkuu wa Haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa serikali ya Angola kusitisha mara moja zoezi la kuwarejesha kwa nguvu maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokarasia ya Congo DRC, hadi pale itakapohakikishwa kwamba kujeresheshwa huko kunazingatia utawala wa sheria na haki za bin

Sauti -
1'57"

26-10-2018

Ndani ya siku nne watu 27 wamethibitika kuwa na Ebola nchini DRC.  Wahamiaji wa DRC waliokimbilia Angola wanakumbwa na madhila makubwa baada ya kutimuliwa Angola. Wauza silaha  fuateni utaratibu, wabunge Kenya waongea UN. 

Sauti -
13'17"

Maisha ya maelfu ya raia wa DRC hatarini baada ya kutimuliwa Angola:UN

Kamishina Mkuu wa Haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa serikali ya Angola kusitisha mara moja zoezi la kuwarejesha kwa nguvu maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokarasia ya Congo DRC, hadi pale itakapohakikishwa kwamba kujeresheshwa huko kunazingatia utawala wa sheria na haki za binadamu za wahamiaji.

Raia wa DRC wafurumushwa Angola, UNHCR yaingiwa wasiwasi

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa-UNHCR lina wasiwasi mkubwa kutokana na wimbi kubwa la idadi ya wakimbizi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC wanaorejea nyumbani kufuatia hatua ya serikali ya Angola kufukuza wahamiaji.

Kweli nyumbani ni nyumbani: IOM DRC

Shirika la umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM, limepokea msaada wa dola 900,000 kutoka kwa serikali ya Japan ili kuwasaidia watu 200,000 ambao wanaorejea nyumbani, wakimbizi wa ndani na jamii zinazowahifadhi katika jimbo la Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC. 

Sauti -
1'27"

20 Machi 2018

Jaridani leo tunkuletea habari zikiwemo wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wakirejea nyumbani Kasai kati kutoka umbizini Angola na umuhimu wa takwimu katika kutathmini mchango wa mwanamke  kiuchumi.  Pata pia makala inayomulika mwanamke wa Kijiji na harakati za  ukombozi wake. 

Sauti -
10'49"

Nyumbani ni nyumbani hata kama kuna vita

Shirika la umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM, limepokea msaada wa dola 900,000 kutoka kwa serikali ya Japan ili kuwasaidia watu 200,000 ambao wanaorejea nyumbani, wakimbizi wa ndani na jamii zinazowahifadhi katika jimbo la Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.