Americas

Haki za wahamiaji ziheshimiwe:UN

Haki za wahamiaji ziheshimiwe:UN

Heshima pamoja na haki vya wahamiaji na wakimbizi , kwa mujibu wa  msemaji wa Umoja wa Mataifa, ni sharti viheshimiwe popote pale.

Sauti -

Tuache fikra potofu tunapojadili uhamiaji- Guterres

Mtazamo potofu kuhusu uhamiaji na wahamiaji umeendelea kukwamisha matumizi bora ya dhana hiyo kote ulimwenguni, amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres hii leo wakati akizindua ripoti yake kuhusu mbinu za kufanya uhamiaji uwe na manufaa kwa wote. Patrick Newman na ripoti kamili.

WHO na UNEP kushirikiana kuboresha afya

Mashirika ya mawili ya Umoja wa Mataifa  yamekubaliana kushirikiana  kuchagiza hatua dhidi ya athari za afya ya kimazingira  zinazosababisha vifo vya zaidi ya watu milioni 12 kila mwaka. Mashirika hayo ni lile linaloshughulikia mazingira la UN- Environment na la afya, WHO.

UN yajipanga kuzuia usafirishaji binadamu angani

UN yajipanga kuzuia usafirishaji binadamu angani

Biashara haramu ya kusafirisha binadamu kwa ajili ya utumikishwaji inashika namba tatu baada ya usafrishaji wa madawa na silaha duniani.

Sauti -