Americas

Bei za vyakula zimeshuka kwa mwezi Disemba:FAO

Filippo Grandi aeleza dira yake kwa UNHCR

Kamishna Mkuu Mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR Filippo Grandi amezungumza leo kwa mara ya kwanza na waa

Sauti -

Filippo Grandi aeleza dira yake kwa UNHCR

Ban aelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kisiasa inayoendelea Haiti:

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kisiasa nchini Haiti inayoambatana na mchakato wa uchaguzi.

Sauti -

Ban aelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kisiasa inayoendelea Haiti:

Changamoto ya Mediterenea ni miongoni mwa maafa ya kibinadamu:Swing

Mkuu wa shirika la kimataifa la uhamiaji IOM Lacy Swing amesema wakati idadi kubwa ya wahamiaji na wakimbizi waliowasili barani Ulaya mwaka 2015 imeongeza shinikizo na hofu, hiyo sio changamoto iliyo nje ya uwezo wa bara Ulaya kama muungano kuishughulikia kwa pamoja.

Sauti -

Changamoto ya Mediterenea ni miongoni mwa maafa ya kibinadamu:Swing

Karen AbuZayd ndiye mshauri wa mkutano wa masuala ya wakimbizi na wahamiaji

Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon ametangaza leo uteuzi wa Bi Karen AbuZayd wa Marekani kama mshauri maalumu wa mkutano wa kushughulikia wimbi kubwa la uhamaji wa wakimbizi na wahamiaji ambao utafanyika kwenye baraza kuu la umoja wa Mataifa mwezi septemba 2016.

Sauti -

Karen AbuZayd ndiye mshauri wa mkutano wa masuala ya wakimbizi na wahamiaji

Wasaka hifadhi kutinga nchi zilizoendelea kulizua mjadala: Guterres

Kamishna Mkuu wa Shirika la kuhudumia wakimbizi UNHCR, aliyemaliza muda wake António Guterres, ambaye amehudumu katika nafasi hiyo kwa

Sauti -