Americas

Miaka 6 baada ya tetemeko la ardhi Haiti, changamoto bado nyingi

Mtandao wa kukodisha baiskeli New York wafikia Milioni 10 mwaka jana

Mpango wa utekelezaji wa hatua kuhusu mabadiliko ya tabianchi, ClimateAction unaofanya kazi kwa ubia na shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP umezungumzia maf

Sauti -

Mtandao wa kukodisha baiskeli New York wafikia Milioni 10 mwaka jana

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa laadhimisha miaka 70

Leo ikiwa ni miaka 70 tangu kufanyika kwa mara ya kwanza kwa kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema Baraza hilo limekuwa jukwaa la watu wote. Taarifa zaidi na Grace Kaneyia.

(Taarifa ya Grace)

Nats…

Sauti -

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa laadhimisha miaka 70

UM na Ulaya waitaka Marekani ifunge gereza la Guantánamo

Kundi la wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa na Ulaya wameitaka Marekani ikomeshe ukwepaji sheria katika usimamizi wa haki za binadamu na ifunge gereza la Guantanamo.Taarifa kamili na John Kibego.

(Taarifa ya Kibego)

Sauti -

UM na Ulaya waitaka Marekani ifunge gereza la Guantánamo

Chanjo dhidi ya Kipindupindu sasa maradufu

Utolewaji wa chanjo ya kipindupindu kimataifa utaongezeka mara mbili baada ya shirika la afya ulimwenguni WHO kumtihibitisha mzalishaji wa tatu wa chanjo atak

Sauti -

Chanjo dhidi ya Kipindupindu sasa maradufu

Bei za vyakula zimeshuka kwa mwezi Disemba:FAO

Shirika la chakula na kilimo

Sauti -