Americas

Watoa misaada waenziwa

Aleppo ni kisawe cha Jehanam, na jamii ya kimataifa imeshindwa- Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo amefanya mkutano rasmi wa mwisho na waandishi wa habari mjini New York ikiwa ni takribani majuma mawili kabla ya kumaliza awamu ya pili na ya mwisho ya uongozi wake katika chombo hicho .

Sauti -

Aleppo ni kisawe cha Jehanam, na jamii ya kimataifa imeshindwa- Ban

Kuwapatia fedha wakimbizi kwabadili maisha yao na wenyeji- UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limesema kumekuwepo na mabadiliko makubwa kwenye mwenenedo wa kushughulikia j

Sauti -

Kuwapatia fedha wakimbizi kwabadili maisha yao na wenyeji- UNHCR

Ulimwengu washuhudia kuporomoka kwa mishahara-ILO

Shirika la Kazi Duniani, ILO limesema kiwango cha mshahara katika nchi zilizoibuka kiuchumi au G20 kimeshuka au kudorora kutoka asilimia 6

Sauti -

Ulimwengu washuhudia kuporomoka kwa mishahara-ILO

Hakuna mikono salama kwa silaha za maangamizi- Eliasson

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na mjadala wa wazi kuhusu azimio namba 1540 la  kuzuia janga lisababishwalo na matumizi ya kiholela ya silaha za maangamizi ya umma.

Sauti -

Hakuna mikono salama kwa silaha za maangamizi- Eliasson

Amina J Mohammed wa Nigeria ateuliwa Naibu Katibu Mkuu wa UM

Katibu Mkuu mteule wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amefanya uteuzi wa maafisa watatu waandamizi zaidi kwenye umoja huo ikiwemo Naibu Katibu Mkuu ambaye ni Amina J Mohammed wa Nige

Sauti -