Americas

Mauzo ya nje kutoka LDCs kuongezeka iwapo zitapata soko G20

Theluthi moja ya wanaosafirishwa kiharamu ni watoto- Ripoti

Takribani theluthi moja ya waathirika wa biashara haramu ya binadamu ni watoto, imesema ripoti iliyotolewa hii leo na ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kudhibiti uhalifu na madawa ya kulevya, UNODC.

Sauti -

Theluthi moja ya wanaosafirishwa kiharamu ni watoto- Ripoti

Fidel Castro akumbukwa; Angola yasema atalia shujaa

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na kikao maalum cha kumuenzi Fidel Castro, Rais wa zamani wa Cuba aliyefariki dunia tarehe 25 mwezi uliopita.

Sauti -

Fidel Castro akumbukwa; Angola yasema atalia shujaa

Magaidi husafirisha watu na kutekeleza ukatili wa kingono, tuchukue hatua-Ban

Baraza la usalama leo limekuwa na mjadala wa ngazi ya mawaziri kuhusu usafirishaji haramu wa watu katika maeneo yenye mizozo, mada inayohusiana na kulinda amani ya kimataifa na usalama.

Sauti -

Magaidi husafirisha watu na kutekeleza ukatili wa kingono, tuchukue hatua-Ban

Baridi kali tishio jipya kwa watoto mashariki ya kati

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema msimu wa baridi kali isiyo ya kawaida unanyemelea mashariki ya kati na kuweka mam

Sauti -

Baridi kali tishio jipya kwa watoto mashariki ya kati

UNHCR yafurahia kuachiliwa huru kwa wafanyakazi wake, Sudan

Kamishina Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, Filippo Grandi amekaribisha kwa mikono miwili, kuachiliwa

Sauti -