Americas

Asilimia 92 ya watu duniani wanaishi palipo na hewa chafuzi kupindikia:WHO

Takwimu mpya za shirika la afya duniani (WHO) kuhusu ubora wa hewa, zimethibitisha kwamba asilimia 92% ya watu duniani wanaishi katika maeneo ambapo viwango v

Sauti -

Asilimia 92 ya watu duniani wanaishi palipo na hewa chafuzi kupindikia:WHO

Mjadala wa wazi wa Baraza Kuu wafunga pazia

Baada ya siku sita za mjadala mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, hatimaye pazia limefungwa ambapo viongozi wa nchi, serikali na wawakilishi walitoa hotuba zao kuwekea msisitizo masuala ya msingi katika kuendeleza amani, usalama, maendeleo na haki za binadamu.

Sauti -

Mjadala wa wazi wa Baraza Kuu wafunga pazia

Ulimwengu unakabiliwa na ongezeko la tishio la silaha za nyuklia: IAEA

Leo ni siku ya kutokomeza silaha za nyuklia duniani ambapo pia kumefanyika kikao cha 60 kuhusu nishati ya nyuklia jijini New York, Marekani.

Sauti -

Ulimwengu unakabiliwa na ongezeko la tishio la silaha za nyuklia: IAEA

Dunia inakabiliwa na tishio kubwa la nyuklia:Eliasson

Dunia inakabiliwa na tishio kubwa la ongezeko la nyuklia, na juhudi za mchakato wa upokonyaji silaha hizo umegonga kisiki, amesema naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Dunia inakabiliwa na tishio kubwa la nyuklia:Eliasson

UNESCO yazindua video kabambe ya elimu ya jinsia

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO , limezindua video iitwayo “kuwa kijana”ambayo inaainisha ji

Sauti -

UNESCO yazindua video kabambe ya elimu ya jinsia