Americas

Usafiri wa meli ni muhimu kwa dunia: IMO

Katika kuadhimisha siku ya masuala ya bahari duniani, Katibu mkuu wa shirika la kimataifa la masuala ya bahari IMO, Bwana Kitack Lim amesema, usafiri wa meli ni muhimu sana kwa dunia.

Sauti -

Usafiri wa meli ni muhimu kwa dunia: IMO

Uholanzi yachangia Euro Milioni 12 kwa mfuko wa mazingira

Serikali ya Uholanzi na shirika la mpango wa mazingira la Umoja w    a Mataifa, UNEP, leo wametia saini mkataba mpya ili kuimarisha ushirikiano kati yao ambapo Uholanz

Sauti -

Uholanzi yachangia Euro Milioni 12 kwa mfuko wa mazingira

Dhamira ya dunia ni muhimu kwa mustakhbali wa Afghanistan: Tadamichi Yamamoto

Ushirika baina ya Umoja wa Mataifa na Afghanistan umeanza kitambo , tangu 1946 ambapo nchi hiyo ilijiunga kuwa mwanachama wa Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Dhamira ya dunia ni muhimu kwa mustakhbali wa Afghanistan: Tadamichi Yamamoto

Nchi 36 duniani ikiwemo DRC hazina kabisa mashine ya tiba dhidi ya saratani

Mataifa 36 duniani hayana mashine za kutoa huduma ya kutibu saratani, limesema shirika la kimataifa la nishati ya atomiki, IAEA katika taarifa yake inayoweka bayana uwepo wa mashine hizo maeneo mbali mbali duniani.Brian Lehander na taarifa zaidi.

(Taarifa ya Brian)

Sauti -

Nchi 36 duniani ikiwemo DRC hazina kabisa mashine ya tiba dhidi ya saratani

Kichaa cha mbwa, ni tisho la afya linalokuwa na kupuuzwa

Kukiwa na tishio la maradhi kama Ebola na Zika, kuna uwezekano mkubwa wa kutofikiria maradhi mengine yanayoua kama kichaa cha mbwa (rabies).

Sauti -

Kichaa cha mbwa, ni tisho la afya linalokuwa na kupuuzwa