Americas

Mazingira mujarabu kwa wazee yapewe kipaumbele: UNFPA

Mazingira bora kwa wazee na kupunguza ukosefu wa usawa kwa muda mrefu ni moja ya juhudi zinazohitajika ili kuhakikisha ustawi wa kundi hilo, dunia ikiadhimisha siku ya wazee kesho Oktoba mosi, limesema shirika la Umoaj wa Mataifa la idadi ya watu

Sauti -

Mazingira mujarabu kwa wazee yapewe kipaumbele: UNFPA

Kuna matumaini mkataba wa Paris kuanza kutumika karibuni- Nabarro

Matumaini ya kwamba mkataba wa Paris kuhusu mabadiliko ya tabianchi utaanza kutumika kabla ya kumalizika mwaka huu yanazidi kushika kasi baada ya idadi ya nchi zilizoridhia mkataba huo sasa kufikia 61.

Sauti -

Kuna matumaini mkataba wa Paris kuanza kutumika karibuni- Nabarro

Upatikanaji wa mashine za kilimo ni muhimu kwa ajili ya uzalishaji na maisha ya vijijini

Kulisha idadi kubwa ya watu inyoongezeka duniani kunahitaji uboreshaji wa hali ya juu katika usalishaji wa kilimo,mikakati na mbinu muafaka hususani barani Afrika, limesema shirika la kilimo na chakula

Sauti -

Upatikanaji wa mashine za kilimo ni muhimu kwa ajili ya uzalishaji na maisha ya vijijini

Unyanyapaa dhidi ya uzee unabana fursa na kufupisha maisha:WHO

Uzee hukabiliwa na aina kubwa ya unyanyapaa na ubaguzi ambao una madhara mabaya kwa afya ya mtu, kama ilivyo kwa ubaguzi wa rangi na jinsia.

Sauti -

Unyanyapaa dhidi ya uzee unabana fursa na kufupisha maisha:WHO

Tuzo ya SEED 2016 ni pamoja na magugu maji yanayotengeneza mbolea asili

Kampuni 20 zinazotumia mbinu bunifu za kubadili takataka kuwa bidhaa au huduma bora zimeibuka washindi wa tuzo ya mwaka huu 2016 ya bidhaa zinazojali mazingira, au SEED.

Sauti -

Tuzo ya SEED 2016 ni pamoja na magugu maji yanayotengeneza mbolea asili