Americas

Kubadili nchi au kusitisha Olimpiki sio muarubaini: WHO

Tukisalia katika afya ,Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema tathimini ya sasa inaonyesha kuwa kusitisha au kubadili eneo la kufanyia mashindano ya Olimipi

Sauti -

Kubadili nchi au kusitisha Olimpiki sio muarubaini: WHO

UNAIDS: watu takribani milioni 17 wanapata dawa za HIV za kurefusha maisha

Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa mataifa linalohusika na ukimwi UNAIDS inasema idadi ya watu wanaopata dawa za kupunguza makali ya HIV imeongezeka mara mbili tangu mwaka 2010. Assumpta mMassoi na taarifa kamili..

(TAARIFA YA ASSUMPTA)

Sauti -

UNAIDS: watu takribani milioni 17 wanapata dawa za HIV za kurefusha maisha

Mwelekeo ni vifungashio vya sigara bila alama yoyote- WHO

Ujumbe wetu wa mwaka huu wa siku ya kutotumia bidhaa za tumbaku unalenga vifungashio vya sigara visivyokuwa na alama wa jina kama njia ya kupunguza matumizi ya bidhaa hizo, amesema Dkt.

Sauti -

Mwelekeo ni vifungashio vya sigara bila alama yoyote- WHO

Uhuru wa asasi za kiraia bado changmoto: Ban

Uhuru wa asasi za kiraia za kimataifa kufanya kazi bila kuingiliwa uko katika kitisho amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon.

Sauti -

Uhuru wa asasi za kiraia bado changmoto: Ban

Baraza la usalama lalaani shambulio dhidi ya walinda amani Mali

Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wamelaani vikali shambulio la kigaidi la Mei 29 dhidi ya ujumbe wa UM nchini Mali, MINUSMA katika mkoa wa Mopti ambapo walinda amani watano kutoka Togo waliuwawa.

Sauti -

Baraza la usalama lalaani shambulio dhidi ya walinda amani Mali