Americas

Usalama ndio ufunguo wa maendeleo ya nishati ya nyuklia- IAEA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), Yukiya Amano, amesema leo kuwa usalama ni suala muhimu kwa maendeleo ya nishati ya nyuklia katika siku zijazo.

Sauti -

Usalama ndio ufunguo wa maendeleo ya nishati ya nyuklia- IAEA

Ulinzi wa mambo ya kale ni suala la kimataifa:UNESCO

Ulinzi wa kazi za kihistoria za Sanaa sio tu suala la wakati wa migogoro au vita bali ni suala linalotia hofu kimataifa limesema shirika la Umoja wa mataifa la Elimu , Sayansi na Utamaduni

Sauti -

Ulinzi wa mambo ya kale ni suala la kimataifa:UNESCO

Kutokuwepo usawa wa kiuchumi kumeongezeka maradufu: ECOSOC

Pengo la kutokuwepo kwa usawa wa kiuchumi limekuwa likiongezeka duniani kwa mujibu wa Oh Joon,  Rais wa baraza la kiuchumi na kijamii kwenye Umoja wa Mataifa ECOSOC.

Sauti -

Kutokuwepo usawa wa kiuchumi kumeongezeka maradufu: ECOSOC

Vijana wana jukumu kubwa katika vita dhidi ya ukimwi: Ndaba na Kweku Mandela

Wajukuu wa Hayati Nelson Mandela aliyekuwa Rais wa zamani wa Afrika Kusini na mwanaharakati wa kimataifa wa haki za binadamu, wamesema mchango wa vijana ni muhimu sana katika vita dhidi ya ukimwi.

Sauti -

Vijana wana jukumu kubwa katika vita dhidi ya ukimwi: Ndaba na Kweku Mandela

WHO yatangaza mwisho wa dharura ya Ebola kimataifa

Shirika la Afya Duniani (WHO), limetangaza leo kuwa mlipuko wa maambukizi ya virusi vya homa ya Ebola siyo tena suala la dharura linalotishia afya ya umma kim

Sauti -

WHO yatangaza mwisho wa dharura ya Ebola kimataifa