Americas

Mjumbe wa amani wa UM Leonardo DiCaprio ashinda tuzo ya Oscar

Mcheza filamu nyota wa Marekani na mjumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa Leonardo DiCaprio ni miongoni mwa washindi wakubwa katika tuzo za Academy mjini Hollywood zilizotolewa Jumapili usiku.

Sauti -

Mjumbe wa amani wa UM Leonardo DiCaprio ashinda tuzo ya Oscar

Tuangazie mizozo kwa macho ya kisasa, siyo vita baridi tena: mkuu wa OSCE

Hatushuhudii kurejeshwa kwa vita baridi, mizozo ya leo ni ya aina mpya na tunapaswa kuiangazie na macho ya kisasa, amesema leo Waziri wa mambo ya nje ya Ugerumani, Frank-Walter Steinmeier ambaye pia kwa mwaka huu ni Mwenyekiti wa Shirika la Usalama na Ushirikiano la Ulaya OSCE.

Sauti -

Tuangazie mizozo kwa macho ya kisasa, siyo vita baridi tena: mkuu wa OSCE

Watafiti kuchunguza yasiyojulikana kuhusu virusi vya Zika na mahitaji

Watafiti mashuhuri kutoka taasisi muhimu za afya watakutana katika Shirika la Afya kanda ya Amerika, PAHO, kuanzia kesho Machi Mosi had Machi Pili, ili kujadili mahitaji muhimu katika kuunda ajenda ya utafiti katika mlipuko wa virusi vya Zika, na athari zake kwa afya.

Sauti -

Watafiti kuchunguza yasiyojulikana kuhusu virusi vya Zika na mahitaji

Baraza la haki lichagize wanachama kutekeleza ajenda ya maendeleo:Lykettoft

Rais wa baraza kuu la Umoja wa mataifa Mogens Lykettoft  ameonya dhidi ya mapungufu makubwa tangu kuundwa kwa Umoja wa Mataifa, yakiwemo baa la njaa, mauaji ya halaiki, na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Sauti -

Baraza la haki lichagize wanachama kutekeleza ajenda ya maendeleo:Lykettoft

Kuwezesha wanawake na kuendeleza usawa kutasaidia wakati wa majanga- CEDAW

Mkurugenzi wa idara ya mikataba katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Ibrahim Salama, amesema ni dhahiri kuwa majanga yatokanayo na mabadiliko ya tabianchi huathiri wanawake kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko wanaume, na kwamba njia moja ya kushughulikia tatizo hilo ni kuwawezes

Sauti -

Kuwezesha wanawake na kuendeleza usawa kutasaidia wakati wa majanga- CEDAW