Americas

Brahimi akutana na wawakilishi wa Urusi na Marekani, pande zote kukutana kesho

Brahimi akutana na wawakilishi wa Urusi na Marekani, pande zote kukutana kesho

Mwakilishi wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na nchi za kiarabu Lakdar Brahimi leo amekutana kwa nyakati tofauti na wawakishi wa serikali za Urusi na Marekani ambao wanashiriki katika awamu ya pili ya mazungumzo ya amani ya Syria unaoendelea mjini Geneva.

Sauti -

Watoto walindwe dhidi ya mitandao ya internet:ITU

Watoto walindwe dhidi ya mitandao ya internet:ITU

Muungano wa kimataifa wa mawasiliano ITU umeungana na mashirika mengine ya Umoja wa Mataifa, asasi za kiraia na serikali pamoja na makampuni ya teknolojia katika kuadhimisha siku ya mtandao wa internet salama duniani leo tarehe 11 February inayoangazia mkakati wa kieleimu kukuza usalama wa matumi

Sauti -