Americas

CITES yakaribisha azimio la London kuhusu biashara haramu ya wanyama wa pori

CITES yakaribisha azimio la London kuhusu biashara haramu ya wanyama wa pori

Sekritariati ya Kamati ya kudhibiti biashara katika viumbe vilivyo katika hatari ya kuangamizwa, CITES, imekaribisha kaongamano la London kuhusu biashara haramu katika wanyama wa pori, ambalo lilifanyika Februari 12-13.

Sauti -

Kinachoendelea Venezuela kinatutia shaka: Ofisi ya haki za binadamu

Kinachoendelea Venezuela kinatutia shaka: Ofisi ya haki za binadamu

Ofisi ya Kamishna wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa imeelezea wasiwasi wake juu ya ongezeko la ghasia nchiniVenezuela, ikitaja zaidi tukio la vifo vya watu wapatao watatu wakati wa maandamano kwenye mji mkuu Caracas, Juzi Jumatano.

Sauti -

Wakati ni huu wa kubadili fikra; wanawake wanaweza: Bi. Nducha

Wakati ni huu wa kubadili fikra; wanawake wanaweza: Bi. Nducha

Siku ya Radio duniani imeadhimishwa tarehe 13 Februari ambapo Kaimu Mkuu wa Radio ya Umoja wa Mataifa Bi.

Sauti -

Bila kujumuisha wanawake maendeleo ni ndoto: Manongi

Bila kujumuisha wanawake maendeleo ni ndoto: Manongi

‘‘Bila kujumuisha wanawake hakuna maendeleo na radio inawezesha jukumu hilo”amesema Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa balozi Tuvako Manongi wakati wa mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa hii kuhusu umuhimu wa siku ya radio duniani February 13 kila mwaka.

Sauti -