Americas

Kumbukumbu ya miaka 20 baada ya mauaji ya Rwanda yafanyika New york

Kumbukumbu ya miaka 20 baada ya mauaji ya Rwanda yafanyika New york

Miaka 20 baada ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda, utengamano unaolenga kuhakikisha matukio hayo hayajirudii tena ndiyo kitu muhimu kwa sasa. Taifa hilo limeadhimisha miaka 20 ya mauaji kwa hafla maalum ya kumbu kumbu iliyofanyika makaoa makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.

Sauti -

Onyesho la filamu ya miaka 12 utumwani yafungua maadhimisho ya biashara ya utumwa atlantiki

Onyesho la filamu ya miaka 12 utumwani yafungua maadhimisho ya biashara ya utumwa atlantiki

Maadhimisho ya siku ya utumwa na biashara ya utumwa huadhimishwa kila mwaka Machi 25. Katika kuanza kumbukumbu ya maadhimisho ya mwaka huu yalifunguliwa rasmi na onyesho la filamu Miaka 12 utumwani ambayo mmoja wa waigizaji ni Lupita Nyon'go kutoka Kenya.

Sauti -

Hatua zimepigwa Ufilipino, juhudi zaidi zahitajika: OCHA

Hatua zimepigwa Ufilipino, juhudi zaidi zahitajika: OCHA

Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la misaada ya kiutu OCHA Valerie Amos ambaye yuko katika zaira nchini Ufilipino nchi ambayo ilikumbwa na kimbunga Typhoon Haiyan ametembelea Giana na Tacloban maeneo yaliyoathiriwa zaidi na kimbunga hicho na kukiri miezi mitatau baada ya kuitembelea nchi hiyo h

Sauti -