Americas

Licha ya mafanikio safari bado ni ndefu kufikia usawa wa kijinsia: WU

Usafirishaji haramu wa binadamu wakumba zaidi watoto: UM

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inaonyesha kuwa vitendo vya usafirishaji watoto duniani vimeongezeka ambapo asilimia 27 ya waathirika wa vitendo vya usafirishaji wa binadamu duniani kote ni watoto.

Sauti -

Usafirishaji haramu wa binadamu wakumba zaidi watoto: UM

UM yatoa nyongeza ya dola Milioni 23 kutokomeza Kipindupindu Haiti

Ugonjwa wa Kipindupindu umeendelea kuwa tishio nchini Haiti hali iliyolazimu Umoja wa Mataifa kutoa nyongeza ya dola Milioni 23 zaidi kusaidia vita dhidi ya ugonjwa huo.

Sauti -

UM yatoa nyongeza ya dola Milioni 23 kutokomeza Kipindupindu Haiti

Ubaguzi dhidi ya wapenzi wa jinsia moja au waliobadili jinsi ukome: Yvone Chaka Chaka

Balozi mwema wa Umoja wa Mataifa  Yvonne Chaka Chaka  ambaye yuko mjini New York Marekani kushiriki tukio la ngazi ya juu la nafasi ya uongozi katika vita dhidi ya ubaguzi dhidi ya wapenzi wa jinsi moja au waliobadili jinsi zao amesema ni wakati muafaka serikali zinazobagua au kuhukumu watu hao z

Sauti -

Ubaguzi dhidi ya wapenzi wa jinsia moja au waliobadili jinsi ukome: Yvone Chaka Chaka

Milima yazidi kuporwa, maisha ya wakazi wake yazidi kuwa duni

Milima ni tegemeo la wakazi wa dunia kwa shughuli na huduma mbali mbali ikiwemo maji ya kunywa, umwagiliaji, shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii na kadhalika.

Sauti -

Milima yazidi kuporwa, maisha ya wakazi wake yazidi kuwa duni

Wanawake wanakabiliwa na ukosefu wa ajira zaidi ya wanaume: ILO

Wanawake wanakabiliwa na ukosefu wa ajira kwa viwango vikubwa zaidi ya wanaume kote duniani, huku matarajio ya hali hiyo kurekebishwa yakiwa adimu katika miaka ijayo, kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Ajira Duniani,

Sauti -