Americas

Uamuzi wa Baraza Kuu la UM wa kuanzisha siku ya kimataifa ya Radio wapongezwa

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne tarehe 18 Disemba limeridhia tarehe 13 ya mwezi Februari kila mwaka kuwa siku ya Radio duniani, ikiwa ni kutambua mchango wa Radio katika kurusha matangazo mbali mbali ya kuleta maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii na vile vile kwa kutambua nafa

Sauti -

Uamuzi wa Baraza Kuu la UM wa kuanzisha siku ya kimataifa ya Radio wapongezwa

Uzalishaji wa mazao ya misitu bado ni wa kusuasua tangu kutokea anguko la uchumi wa dunia

Uzalishaji wa mazao yatokanayo na misitu unaarifiwa kusuasua tangu kushuhudiwa kwa mkwamo wa uchumi wa dunia, huku mataifa yaliyoko katika kanda ya Asia-Pacific ndiyo yakishika nafasi ya kwanza.

Sauti -

Uzalishaji wa mazao ya misitu bado ni wa kusuasua tangu kutokea anguko la uchumi wa dunia

Haki za wahamiaji zilindwe: Jopo la wataalamu wa haki

Jopo la wataalamu wa haki za binadamu kutoka Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika, wataalamu wa haki za wahamiaji na Muungano wa nchi za bara la Amerika limeelezea wasiwasi wake kuhusu tabia ya baadhi ya nchi kuchukulia kitendo cha mtu kukosa nyaraka rasmi za ukaazi kama uhalifu.

Sauti -

Haki za wahamiaji zilindwe: Jopo la wataalamu wa haki

Nchi zenye wahamiaji zitambue athari za majanga na mizozo kwa wahamiaji: IOM

Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya wahamiaji hii leo, shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM limetaka jumuiya ya kimataifa hususan nchi zinazotoa au kupokea wahamiaji kutambua athari za majanga na mizozo kwa wahamiaji.

Sauti -

Nchi zenye wahamiaji zitambue athari za majanga na mizozo kwa wahamiaji: IOM

Siku ya kimataifa ya haki za binadamu

Sauti yangu ina nafasi! Ni ujumbe wa siku ya kimataifa ya haki za binadamu iliyoadhimishwa tarehe 10 Desemba mwaka huu, siku ambayo miaka 64 iliyopita lilipitishwa tamko la kimataifa la haki za kibinadamu.

Sauti -

Siku ya kimataifa ya haki za binadamu