Americas

Maendeleo dhahiri yamepatikana katika ujenzi wa amani: Ban

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hii leo limekuwa na mjadala wa wazi kuhusu ujenzi wa amani baada ya migogoro ambapo Katibu Mkuu Ban Ki- Moon amesema maendeleo ya dhati yamepatikana katika ajenda ya ujenzi wa amani.

Sauti -

Maendeleo dhahiri yamepatikana katika ujenzi wa amani: Ban

Mshikamano ni suluhu ya kutatua migogoro inayokumba dunia: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa ujumbe wake wa siku ya kimataifa ya mshikamano kibinadamu hii leo na kusema mshikamano ndio njia pekee ya kutatua migogoro inayokumba dunia ya sasa yenye mwingiliano mkubwa. Ujumbe wa mwaka huu ni ubia wa kimataifa kwa ustawi wa pamoja.

Sauti -

Mshikamano ni suluhu ya kutatua migogoro inayokumba dunia: Ban

Ban asema mwaka 2012 ulikuwa wa mizozo na migogoro

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa tathmini yake ya mwaka huu wa 2012 unaofikia ukingoni na kuelezea kuwa ulikuwa ni mwaka uliosheheni mizozo na migogoro lakini Umoja wa Mataifa licha ya hali hiyo uliweza kuendeleza ajenda yake ya maendeleo endelevu kwa karne ya 21 huku ikiendelez

Sauti -

Ban asema mwaka 2012 ulikuwa wa mizozo na migogoro

UM na mashirika ya kibinadamu yatoa ombi la msaaada kwa taifa la Haiti

Umoja wa Mataifa na washirika wa huduma za kibinadamu wametoa ombi la dola milioni 144 zitakazotumika kusaidia zaidi ya watu milioni moja nchini Haiti mwaka 2013.

Sauti -

UM na mashirika ya kibinadamu yatoa ombi la msaaada kwa taifa la Haiti

Dunia hatarini kutumbukia katika mdororo mpya wa uchumi: Ripoti UM

Ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka 2012 umedorora kiasi na hali hiyo inatarajiwa kuaendelea kwa miaka miwili ijayo, na hiyo ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa hii leo.

Sauti -

Dunia hatarini kutumbukia katika mdororo mpya wa uchumi: Ripoti UM