Americas

Juhudi za wanawake za kuendeleza amani na usalama zinapaswa kuungwa mkono: UM

Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake, UN-WOMEN Michelle Bachelet amesema michango ya mashirika ya wanawake na makundi ya kiraia ya kuzuia na kutatua migogoro duniani ni muhimu katika kuleta amani duniani na hivyo jitihada hizo zinapaswa kuungwa mkono.

Sauti -

Juhudi za wanawake za kuendeleza amani na usalama zinapaswa kuungwa mkono: UM

Siku ya Ukimwi duniani

Siku ya Ukimwi Duniani ni muda muafaka wa kila jamii, taifa na dunia kwa ujumla kutathmini harakati za kutokomeza ugonjwa huo ambao hadi sasa haujapatiwa tiba, zaidi ya watu kuelimishwa juu ya kinga na wale wanaoishi na virusi vya Ukimwi na Ukimwi kupatiwa dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo

Sauti -

Siku ya Ukimwi duniani

Masuala ya wanawake yajadiliwe kila wakati siyo wakati wa maadhimisho tu: Eliasson

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson amesema katika kipindi cha miaka 12 iliyopita, Baraza la Usalama la Umoja limeonyesha kuwa maamuzi yanayopitishwa na chombo hicho yanaweza kufanya maisha ya wanawake na watoto wa kike baada ya migogoro kuwa bora zaidi.

Sauti -

Masuala ya wanawake yajadiliwe kila wakati siyo wakati wa maadhimisho tu: Eliasson

Harakati za kupambana na Ukimwi, Malaria na Kifua Kikuu zatia matumaini: Jaramillo

Mfuko wa kimataifa wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria umetoa taarifa mpya inayoonyesha ongezeko la idadi ya watu wanaopata dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi duniani pamoja na ikiwemo kutoka kwa mama mjamzito kwenda kwa mtoto.

Sauti -

Harakati za kupambana na Ukimwi, Malaria na Kifua Kikuu zatia matumaini: Jaramillo

Mkutano kuhusu amani na utulivu kama msingi wa dira ya maendeleo duniani kufanyika Liberia

Majanga na mizozo ya kivita ambayo huathiri zaidi ya watu milioni 200 na kusababisha vifo vya watu zaidi la laki tano duniani kote itakuwa ajenda kuu ya mkutano unaoanza kesho nchini Liberia kuhusu migogoro na hatari za kutumbukia kwenye mizozo .

Sauti -