Americas

Siku ya Umoja wa Mataifa mwaka huu wa 2012

Tarehe 24 mwezi Oktoba kila mwaka ni siku ya Umoja wa Mataifa, siku ya kusherehekea kuasisiwa kwa katiba ya kuanzisha Umoja wa Mataifa mwaka 1945 baada ya vita kuu ya pili ya dunia.

Sauti -

Siku ya Umoja wa Mataifa mwaka huu wa 2012

Viwango vya juu vya madeni kwa nchi maskini vyamtia hofu Jeremić

Nchi zilizoendelea zinapaswa kutekeleza ahadi zao za kusaidia kiuchumi nchi zinazoendelea na hiyo ni kauli ya Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Vuk Jeremic aliyoitoa mbele ya kikao cha barazahilojijiniNew York, Marekani.

Sauti -

Viwango vya juu vya madeni kwa nchi maskini vyamtia hofu Jeremić

Udhibiti wa kisiasa unakiuka uhuru wa kuabudu: Mtaalamu huru UM

Haki ya kuabudu dini na imani yoyote hivi sasa inakiukwa na baadhi ya serikali duniani kwa lengo la kuweka udhibiti wa kisiasa.

Sauti -

Udhibiti wa kisiasa unakiuka uhuru wa kuabudu: Mtaalamu huru UM

IOM yasaidia kuhamisha waliokumbwa na kimbunga Haiti

Wakati kimbunga Sandy kikipita maeneo ya nchi za Caribbean na kusababisah vifo na mafuriko, shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM nchini Haiti limechukua hatua za kinga usaidizi kwa kushirikiana na shirika la kiserikali la huduma za kibinadamu nchini humo DPC na lile la msalaba mwekundu nchini hu

Sauti -

IOM yasaidia kuhamisha waliokumbwa na kimbunga Haiti