Americas

Matumizi ya kura ya veto yadhibitiwe

New Zealand imetaka mataifa matano yenye ujumbe wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yajidhibiti katika matumizi ya kura ya veto.Wito huo umetolewa siku ya Jumamosi na Waziri wa Mambo ya Nje wa New Zealand Murray McCully wakati akihutubia mkutano wa 67 wa Baraza Kuu la Umoja wa

Sauti -

Matumizi ya kura ya veto yadhibitiwe

WHO yasisitiza umuhimu wa chanjo kwenye siku ya Kichaa cha Mbwa duniani

“Chanja mbwa, uokoe maisha” huu ni ujumbe kutoka Shirika la Afya Duniani ( WHO ), katika kuadhimisha siku ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa duniani, leo septemba

Sauti -

WHO yasisitiza umuhimu wa chanjo kwenye siku ya Kichaa cha Mbwa duniani

Ugaidi wa kutumia silaha za nyuklia ni tishio kubwa zaidi: Rais wa Baraza Kuu

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Vuk Jeremic, amesema kuwa hakuna wazo linalotisha kama silaha za nyuklia kuwa mikononi mwa magaidi.

Sauti -

Ugaidi wa kutumia silaha za nyuklia ni tishio kubwa zaidi: Rais wa Baraza Kuu

Baraza la haki za binadamu la UM laongeza muda wa kuhudumu wa tume ya uchunguzi nchini Syria

Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa hii leo limepitisha azimio sita ambapo limeongeza muda wa kuhudumu kwa tume ya kimataifa ya uchunguzi nchini Syria na pia kuongeza muda wa kuhudumu kwa mtaalamu huru nchini Sudan kwa mwaka mmoja zaidi.

Sauti -

Baraza la haki za binadamu la UM laongeza muda wa kuhudumu wa tume ya uchunguzi nchini Syria

Kumaliza umaskini ni jambo linalostahili kushughulikiwa duniani kote:Sepulvena

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu umaskini uliopindukia Magdalena Sepulvena ameyataka mataifa kutumia mipango ya muda mrefu kuhusu umaskini na haki za binadamu uliopitishwa na baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Kumaliza umaskini ni jambo linalostahili kushughulikiwa duniani kote:Sepulvena