Americas

Serikali ni lazima zishirikiane katika mitazamo kuhusu sekta ya Posta:UM

Wiki chache kabla ya kufunguliwa kongamano la kimataifa kuhusu hatma ya huduma za posta, Mkurugenzi wa mashirika maalum katika Umoja wa Mataifa, Edouard Dayan amesema serikali kote duniani zinapaswa kubadilishana mawazo kuhusu mtazamo zilizo nao kwa ajili ya sekta ya posta, ili kudumisha umuhimu

Sauti -

Serikali ni lazima zishirikiane katika mitazamo kuhusu sekta ya Posta:UM

Kwenye siku ya watu waliotoweka, familia zisaidiwe kufahamu ni nini kilichofanyika:ICRC

Familia za watu waliotoweka kote duniani kutokana na migogoro ya silaha na hali nyingine za dharura, zinakabiliana na uchungu wa kutopata habari zozote kuwahusu watu hao.

Sauti -

Kwenye siku ya watu waliotoweka, familia zisaidiwe kufahamu ni nini kilichofanyika:ICRC

UM waunga mkono michezo ya olimpiki ya walemavu ili kuchagiza ushiriki wa wote na amani katika jamii

Leo michezo ya olimpiki ya walemavu imefunguliwa rasmi mjini London Uingereza kwa washiriki zaidi ya 4200 kutoka nchi 166 wakishindana katika michezo 21.

Sauti -

UM waunga mkono michezo ya olimpiki ya walemavu ili kuchagiza ushiriki wa wote na amani katika jamii

Tufani Isaac imedhihirisha haja ya kufunga makambi Haiti:IOM

Tufaini Isaac iliyokumba Haiti mwishoni mwa wiki imedhihirisha haja ya kuyafunga makambi 575 yaliyosalia nchini humo tangu tetemeko la ardhi la mwaka 2010, na kutoa huduma ya makazi bora kwa watu 390,000 ambao bado wanaishi kwenye mahema.

Sauti -

Tufani Isaac imedhihirisha haja ya kufunga makambi Haiti:IOM

Juhudi zaidi zahitajika kudhibiti usambazaji wa silaha ndogondogo: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, ametoa wito kwa serikali kote duniani kufanya juhudi zaidi ili kukomesha usambazaji wa silaha ndogondogo haramu.

Sauti -