Americas

Uzalishaji wa madini ya chuma waongezeka kufuatia kuboreka kwa sekta ya chuma

Ripoti kutoka kwa shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa Mataifa UNCTAD inasema kuwa uzalishaji wa madini ya chuma uliongezeka mwaka 2011 kwa tani milioni 1.92 au asilimia 4.7 ikilinganishwa na mwaka 2010.

Sauti -

Uzalishaji wa madini ya chuma waongezeka kufuatia kuboreka kwa sekta ya chuma

Ban ahimiza nchi za G20 zifanye Mipango Inayouiana na Matokeo ya Rio+20

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amesema kushirikisha matokeo ya mkutano wa Rio+20 katika ratiba za nchi za G20 ni muhimu katika kufikia maendeleo endelevu.

Sauti -

Ban ahimiza nchi za G20 zifanye Mipango Inayouiana na Matokeo ya Rio+20

Benki ya Dunia yaonya kuhusu Kupanda kwa Bei ya Vyakula

Benki ya dunia imeonya kuwa hali ya ukame inayoendelea kushuhudiwa nchini Marekani na hali zilizopo kwenye nchi zingine zinazozalisha nafaka na kupanda ya bei ya vyakula huenda vikaathiri nchi maskini.

Sauti -

Benki ya Dunia yaonya kuhusu Kupanda kwa Bei ya Vyakula

Ban asikitishwa na kutoafikiwa kwa mkataba wa silaha

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameonyesha kukasirishwa kwake kutokana na wanachama wa Umoja wa Mataifa kushindwa kuafikiana kwenye mkataba ambao utathibiti biashara ya silaha.

Sauti -

Ban asikitishwa na kutoafikiwa kwa mkataba wa silaha

Wasomi wana Wajibu wa kufanya kwenye Vita dhidi ya njaa:FAO

Mkurugenzi mkuu wa shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Mataifa

Sauti -

Wasomi wana Wajibu wa kufanya kwenye Vita dhidi ya njaa:FAO