Americas

UM Waungana na Sanaa ya Fasheni Kukabili njaa

Umoja wa Mataifa leo imetangaza kuanzisha mashirikiano ya karibu na waendeshaji wa sanaa za fasheni ili kukabiliana na tatizo la umaskini na kutoa msaada wa chakula kwa mamilioni ya wanawake na watoto wanaotabika duniani kote.

Sauti -

UM Waungana na Sanaa ya Fasheni Kukabili njaa

Sheria ya Marekani kuhusu Afya inaweza Kupunguza Mwanya katika Usalama wa Kijamii:ILO

Shirika la Ajira Duniani, ILO, limesema sheria ya kubadili mfumo wa huduma za afya Marekani inaweza kusaidia kupunguza mwanya wa usalama w

Sauti -

Sheria ya Marekani kuhusu Afya inaweza Kupunguza Mwanya katika Usalama wa Kijamii:ILO

WFP Kuongeza Msaada wa chakula Sudan Kusini

Baada ya kuwasaidia zaidi ya watu 1.9 Sudan Kusini, Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa, WFP, linapanua utoaji wa msaada kwa watu zaidi wanaokabiliwa zaidi na tishio la njaa, wakati msimu wa njaa ukiendelea.

Sauti -

WFP Kuongeza Msaada wa chakula Sudan Kusini

Biashara lazima Ziheshimu Haki za Binadamu kwa Maendeleo Endelevu ya uhakika:Rio+20

Chombo cha wataalamu wa Umoja wa Mataifa kinachohusika na kuchagiza biashara zote kuheshimu haki za biinadamu katika sekta zote na katika nchi zote kimeelezea hofu kuhusu hati ya matokeo ya mkutano wa maendeleo endelevu wa Rio+20.

Sauti -

Biashara lazima Ziheshimu Haki za Binadamu kwa Maendeleo Endelevu ya uhakika:Rio+20

Migiro asema kwaheri Umoja wa Mataifa

Naibu Katubu Mkuu wa Umoja wa mataifa wiki hii anafungasha virago na kurejea nyumbani Afrika baada ya kuutmikia Umoja wa mataifa kwa miaka mitano.

Sauti -

Migiro asema kwaheri Umoja wa Mataifa