Americas

Vyakula vilivyosahaulika vyaweza kuwa Suluhu ya Njaa:FAO

Wanasayansi wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa wamesema vyakula vya kiasili, ambavyo vimesahauliwa na kudhalilishwa na wakulima, viwanda vya kutengeneza chakula, pamoja na wakazi wa mijini, vinaweza kuwa sehemu muhimu ya kuepukana na njaa, lishe duni na kulinda mazingira.

Sauti -

Vyakula vilivyosahaulika vyaweza kuwa Suluhu ya Njaa:FAO

Watu milioni 8 Watakufa kila mwaka ifikapo 2030 kutokana na Athari za Tumbaku:WHO

Tumbaku inauwa takribani nusu ya watumiaji wake, kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO ambalo linafanya kazi kila siku kuwalinda watu kutokana na athari z

Sauti -

Watu milioni 8 Watakufa kila mwaka ifikapo 2030 kutokana na Athari za Tumbaku:WHO

Kuingia katika Uchumi unaojali Mazingira kunaweza Kuzalisha Ajira milioni 60:ILO/UNEP

Mabadiliko ya kuingia kwenye uchumi unaojali mazingira yanaweza kuzalisha ajira milioni 15 hadi 60 kote duniani katika miongo miwili ijayo na kuwaondoa mamilioni ya wafanyakazi katika umasikini.

Sauti -

Kuingia katika Uchumi unaojali Mazingira kunaweza Kuzalisha Ajira milioni 60:ILO/UNEP

Tumekuwa Tukiwaangusha Vijana wetu wa Kike na wa Kiume:ILO

Mkurugenzi mkuu wa shirika la kazi duniani anayemaliza muda wake Juan Somavia amesema dunia imekuwa ikiwangusha vijana wake wa kike na wa kiume kwa muda sasa.

Sauti -

Tumekuwa Tukiwaangusha Vijana wetu wa Kike na wa Kiume:ILO

Hakuna Maendeleo Endelevu bila Kutokomeza Njaa

Maendeleo endelevu hayawezi kupatikana hadi pale njaa na utapia mlo utakapotokomezwa imesema taarifa ya shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Hakuna Maendeleo Endelevu bila Kutokomeza Njaa