Americas

IOM yatengeneza mchezo wa vichekesho kuwafariji waathirika wa tetemeko la ardhi Haiti

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na uhamiaji IOM limetengeneza mchezo wa vichekesho uliopewa jina la Tap Tap ambalo ni jina maarufu huko Haiti katika usafiri wa umma, kama sehemu ya shirika hilo kuleta unafuu kwa njia ya sanaa kwa waathirika wa tetemeko kubwa la ardhi ambao wengi wao bado

Sauti -

IOM yatengeneza mchezo wa vichekesho kuwafariji waathirika wa tetemeko la ardhi Haiti

UM wataka Rais wa zamani wa Haiti ashitakiwe kwa ukiukaji wa haki za binadamu

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeelezea hofu yake juu ya taarifa kwamba Rais wa zamani wa Haiti Jean Claude Duvalier huenda asishitakiwe kwa ukiukaji wa haki za binadamu uliotekelezwa wakati wa utawala wake kisiwani humo na kwamba anaweza kukabiliwa tuu na makosa ya ufisadi.

Sauti -

UM wataka Rais wa zamani wa Haiti ashitakiwe kwa ukiukaji wa haki za binadamu

Mkutano wa upokanyaji silaha umesikia mapendekezo ya kumaliza mvutano

Mkutano kuhusu upokonyaji silaha unaofanyika mjini Geneva Jumanne umesikia mapendekezo ya mataifa 13 yanayoeleza jinsi gani ya kumaliza vikwazo vinaoukabili mkutano huo.

Sauti -

Mkutano wa upokanyaji silaha umesikia mapendekezo ya kumaliza mvutano

Washirika waahidi mpango wa pamoja wa kupambana na magonjwa kwenye sehemu baridi

Makampuni ya madawa, Marekani, Uingereza, nchini za kiarabu, Wakfu wa Bill na Melinda Gates, Benki ya Dunia na mashirika mengine ya kiafya yametangaza mpango mpya katika jitihada za kuangamiza maradhi yanayopatikana zaidi kwenye maeneo baridi duniani kwa muda wa miaka kumi ijayo.

Sauti -

Washirika waahidi mpango wa pamoja wa kupambana na magonjwa kwenye sehemu baridi

Nchi zaridhia mpango wa kulinda mazingira ya bahari

Nchi 65 ambazo zinahudhuria mkutano wa kimataifa huko Philippine zimepiga hatua kwa kukubali kuunga mkono maazimo yenye shabaha ya kulinda mazingira ya bahari yanayoandamwa na athari kutokana na shughuli za kibinadamu zinazofanywa katika nchi kavu.

Sauti -

Nchi zaridhia mpango wa kulinda mazingira ya bahari