Alliance for Hydromet Development.

Hatua mujarabu yachukuliwa kuhakikisha tabiri za hali ya hewa zina 'mashiko'

Mashirika 12 ya kimataifa yanayotoa msaada katika nchi zinazoendelea leo yamekuja pamoja kwenye mkutano wa 25 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi, COP25 unaofanyika huko Madrid nchini Hispania  na kuzindua ushirika mpya kwa ajili ya kuboresha masuala ya utabiri wa hali ya hewa

Sauti -
1'48"

10 Desemba 2019

Hii leo siku ya haki za binadamu duniani nafasi ya vijana inapigiwa chepuo na ikielezwa kuwa wana haki ya kuandamana kudai haki zao huku vijana nchini Kenya nao wakisema kuwa hiyo ni haki yao lakini wakati mwingine hata kuandamana hakuleti matokeo chanya hadi pale serikali inapoguswa.

Sauti -
10'40"

Muungano mpya wa maendeleo ya utabiri wa hali ya hewa na taarifa wazinduliwa COP25

Mashirika 12 ya kimataifa yanayotoa msaada katika nchi zinazoendelea leo yamekuja pamoja kwenye mkutano wa 25 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi, COP25 unaofanyika huko Madrid nchini Hispania  na kuzindua ushirika mpya kwa ajili ya kuboresha masuala ya utabiri wa hali ya hewa, maji na huduma za mabadiliko ya tabianchi  au Alliance for Hydromet Development.